Kama
unavyoona, hii ni barabara ya lami iliyopo wilayani Makete, ambapo
kamera ya mtandao huu imenasa jinsi inavyoanza kuharibika, Mara nyingi
kuchelewa kukarabati uharibifu kama huu ndiyo huzaa matatizo makubwa
katika barabara hiyo ikiwemo mashimo makubwa ambayo yatakuja
kukarabatiwa kwa gharama kubwa
Shimo dogo hilo na ndivyo linavyoanza, mwishowe sijui itakuja kuwaje
Mara nyingi navyohisi uharibifu huu umesababishwa na magari kuzidisha uzito kwa kuwa barabara ya makete-njombe haina mizani
Hii ndiyo hali halisi msomaji wetu
Ushauri
wetu, naomba mamlaka husika zifanye ukarabati mapema hasa ukizingatia
wamamkete wanaitamani lami balaa, maana adha ya vumbi na matope daaaaah
usiseme
(Picha na Edwin Moshi)
0 comments:
Chapisha Maoni