Mwenyekiti
wa kijiji cha Unyambwa manispaa ya Singida, Athumani Omari Njera
akifungua mkutano wa hadhara ulioitishwa kwa ajili ya mkuu wa wilaya ya
Singida (hayupo kwenye picha) kuzungumza na wananchi wa kijiji hicho
kuhusu mradi wa kufua umeme wa upepo.
Mkuu
wa wilaya ya Singida, mwalimu Queen Mlozi akizungumza na baadhi ya
wananchi wa kijiji cha Unyambwa kuhusu mradi wa kufua umeme katika kata
ya Unyambwa manispaa ya Singida.
Mkulima
wa kijiji cha Unyambwa Juma Mwiru akichangia hoja ya mradi wa kufufua
umeme wa upepo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika kitongoji
cha Ijanuka manispaa ya Singida,
Baadhi
ya wakazi wa kijiji cha Unyambwa waliohudhuria mkutano wa hadhara
ulioitishwa na mkuu wa wilaya ya Singida, Mwalimu Queen Mlozi kuzungumza
nao kuhusu mradi wa kufua umeme wa upepo.
(Picha zote na Nathaniel
Limu).
0 comments:
Chapisha Maoni