Mzee wa Matukio, Richard mwaikenda (mwenye kamera) akimueleza jambo mshereheshaji wa shughuli hiyo, Danny Kijo (kushoto)
Brand
Manager wa Tigo, William Mpinga (kushoto) akimpa zawadi ya modem
Blogger baada ya kujishindia Bahati Nasibu ya papo kwa papo katika hafla
fupi ya kukutana na bloggers iliyofanyika kwenye Hoteli ya New Africa
jijini Dar es salaam jana.
Asante zee la nyeti kwa kujishindia na wewe ka modem....Mpinga (kulia) akimkabidhi zawadi yake Henry Mdimu.
Bloggers:
Kutoka shoto Michuzi Jnr wa Jiachie Blog, John Kitime wa Kitime Blog,
Kiff Niga wa King Kiff Blog, Sufiani wa Mafoto Blog, Saleh Ali wa Jembe
Blog, Othmani Michuzi wa mtaa kwa mtaa blog na Francis Dande wa Issu
Michuzi blog.
Eric Mutta, mtaalam wa IT akinadi sera zake
Mpiga Drum wa The Tanzanite Band akifanya vitu vyake
Waimbaji wa The Tanzanite band John Muhina na Bi. Flora wakitumbuiza bloggers.
wadau kutoka Tigo.
Bloggers katika picha za pamoja za hapa na pale
Bloggers na wadau wengine wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na wadau wa blogs
Mwakilishi wa Tigo akiwashukuru bloggers kwa kuhudhuria hafla hiyo.
Salehe 'Jembe' (kulia) akijadiliana jambo na Othman 'mzee wa kitaa'.
Mshauri wa masuala ya habari wa Tigo, Danny Kijo, akiwakaribisha wadau.
....wakati wa kuhakiki mshindi.
HABARI NA PICHA: AABDALLAH MRISHO/GPL.
0 comments:
Chapisha Maoni