Waziri
mkuu mstaafu, Mh. Frederick Sumaye akizungumza kwenye sherehe za
mahafali ya sita ya wahitimu 1029 wa chuo cha ualimu mjini Singida.
Kulia ni kaimu mkuu wa mkoa wa Singida na mkuu wa wilaya ya Singida,
mwalimu Queen Mlozi na kushoto ni mmiliki wa chuo cha ualimu Singida,
Martin Makuza.
Mkurugenzi
mtendaji wa Prime Education Network (PEN) Tanzaia, Martini Mkauza
akitoa nasaha zake kwenye sherehe za mahafali ya sita ya chuo cha ualimu
cha Singida mjini. Kulia ni waziri mkuu mstaafu,Frederick Sumaye.
Waziri mkuu mstaafu, Mh.Frederick Sumaye akikabidhi cheti kwa mmoja wa wahitimu 1,029 wa chuo cha ualimu Singida.
Baadhi
ya wahitimu wa chuo cha ualimu Singida,wakifuatilia kwa makini hotuba
ya waziri mkuu mstaafu Mh. Frederick Sumaye (hayupo kwenye picha) wakati
akizungumza kwenye sherehe za mahafali ya sita ya chuo hicho.
Kikundi
cha uhamasishaji cha kijiji cha Manguanjuki manispaa ya Singida kikitoa
burudani kwenye sherehe za mahafali ya sita ya chuo cha ualimu mjini
Singida.
Mmoja
wa waandishi wa habari,Damiano Mkumbo akiwajibika kupata picha safi
kwenye sherehe za mahafali ya sita ya chuo cha ualimu mjini
Singida.
(Picha zote na Nathaniel Limu).
0 comments:
Chapisha Maoni