Mwenyekiti
wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) Dr. Fatma Mrisho
(katikati) akimkabidhi Bi.Khadija Mwanamboka -Mwenyekiti Wa Tanzania
Mitindo House (TMH) Barua ya kutambua mchango wao wa Kupiga Vita
Ugonjwa wa Ukimwi nchini na kusaidia Watoto yatima wanaoshi na Virusi
vya Ukimwi. Kushoto ni Kamishna wa TACAIDS Bi.Faraja Kotta Nyalandu.
Jumatano, 24 Aprili 2013
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni