WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 12/04/2013.
[Mikoa ya Kagera, Mara,
Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Kilimanjaro,
Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Kigoma, na
Tabora]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida
]:
|
|
Hali ya mawingu, mvua na
ngurumo katika
baadhi ya maeneo
na vipindi vifupi vya jua
|
[Mikoa ya Dar es
Salaam, Pwani na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
[Mikoa ya Lindi, Mtwara na
Morogoro]:
[Mikoa ya Mbeya, Rukwana Iringa]:
[Mkoa wa Ruvuma]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
na ngurumo katika maeneo machache na
vipindi vya jua.
|
ANGALIZO: Vipindi vifupi vya mvua kubwa vinatarajiwa katika baadhi
ya maeneo ya mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Manyara , Singida, Kigoma ,Tabora,
Mwanza, Musoma na Kagera.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango cha juu cha
joto
|
Machweo (Saa)
|
ARUSHA
|
27°C
|
1836
|
D'SALAAM
|
32°C
|
1823
|
DODOMA
|
28°C
|
1837
|
KIGOMA
|
30°C
|
1902
|
MBEYA
|
27°C
|
1845
|
MWANZA
|
28°C
|
1850
|
TABORA
|
29°C
|
1850
|
TANGA |
33°C
|
1825
|
ZANZIBAR
|
31°C
|
1823
|
PEMBA
|
32°C
|
1825
|
MOROGORO
|
31°C
|
1832
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya
km 40 kwa saa;kutoka Kusini kwa ukanda wote wa pwani.
Hali ya bahari:
Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa.
Matazamio kwa
usiku wa leo Alhamisi 12/04/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe 12/04/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Chapisha Maoni