Viongozi na wanachama wa Jumuia ya
wanawake wa chama cha CNDD – FDD (A’bakenyera Rugamba cha nchini Burundi wakiwapokea kwa mbwembwe na
vifijo msafara wa viongozi wa jumuia ya wanawake wa CCM (UWT) waliofanya ziara
ya ujirani mwema nchini Burundi
Kiongozi wa kikundi cha mradi wa ukamuaji mafuta ya mawese
cha kina mama wa A’bakenyera Rugamba katika kijiji cha Kalindo, tarafa ya
Kinyinya mkoa Ruyigi, Niragira Harieth akitoa maelezo kwa msafara wa ujumbe wa
viongozi wa UWT mkoa kigoma waliokuwa katika ziara ya siku tatu ya ujirani
mwema nchini Burundi.
Raisi wa Chama cha CNDD – FDD Mkoa Ruyigi nchini Burundi,
Ngerageze Egide (wan ne kutoka kulia) akiwa na viongozi wa jumuia ya wanawake
ya CCM (UWT) mkoa kigoma wakitembelea maeneo mbalimbali nchini humo wakati
ujumbe huo uliokuwa ziara ya ujirani mwema nchini Burundi (wa pili kulia) ni
Mjumbe wa baraza kuu la UWT Taifa Josephine Hosea ambaye alikuwa kiongozi wa msafara.
picha kwa hisani ya Deogratius Nsokolo
Alhamisi, 11 Aprili 2013
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni