Searching...
Ijumaa, 19 Aprili 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA APRIL 19-IJUMAA



WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 19/04/2013.

[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza  na  Shinyanga]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Kigoma, na Tabora]:
[Mikoa ya Dar es Salaam,  Pwani na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Morogoro (Kaskazini)]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi  vya jua
[Mikoa ya Dodoma na Singida ]:
[Mikoa ya  Iringa, Mbeya na Rukwa]:
[Mikoa ya Lindi  na Mtwara]:
[Mkoa wa Morogoro (Kusini)]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache  na vipindi  vya  jua.
 [Mkoa wa Ruvuma]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi  vya  jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
26°C               
12:36
D'SALAAM
32°C           
12:23
DODOMA
30°C
12:37
KIGOMA           
27°C
01:02
MBEYA
24°C
12:45
MWANZA
27°C
12:50
TABORA
25°C
12:50
TANGA
33°C
12:25
ZANZIBAR
31°C           
12:23
PEMBA
32°C           
12:25
MOROGORO
30°C           
12:32

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka  kusinimashariki kwa kasi ya km 20 kwa saa katika ukanda wote wa pwani .

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi madogo madogo.

Matazamio kwa usiku wa leo Ijumaa 19/04/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 19/04/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!