WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 18/04/2013.
[Mikoa ya Kagera, Mara,
Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Kilimanjaro,
Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Kigoma, na
Tabora]:
[Mikoa ya Dar es
Salaam, Pwani na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
[Mkoa wa Morogoro
(Kaskazini)]:
|
|
Hali ya mawingu, mvua na ngurumo
katika baadhi ya maeneo na vipindi
vifupi vya jua
|
[Mikoa ya Dodoma na Singida
]:
[Mikoa ya Iringa, Mbeya na Rukwa]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
na ngurumo katika maeneo machache na
vipindi vya jua.
|
[Mkoa wa Morogoro
(Kusini)]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
katika maeneo machache na vipindi vya
jua.
|
[Mkoa wa Ruvuma]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
ANGALIZO:
VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MIKOA YA
DAR ES SALAAM, TANGA, PWANI, LINDI, ARUSHA, KILIMANJARO, MANYARA , MARA, RUKWA,
KATAVI, MBEYA PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango cha juu cha
joto
|
Machweo (Saa)
|
ARUSHA
|
20°C
|
12:36
|
D'SALAAM
|
32°C
|
12:23
|
DODOMA
|
28°C
|
12:37
|
KIGOMA
|
26°C
|
01:02
|
MBEYA
|
22°C
|
12:45
|
MWANZA
|
28°C
|
12:50
|
TABORA
|
27°C
|
12:50
|
TANGA |
31°C
|
12:25
|
ZANZIBAR
|
31°C
|
12:23
|
PEMBA
|
30°C
|
12:25
|
MOROGORO
|
29°C
|
12:32
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini kwa kasi ya km 30 kwa saa katika
Pwani ya
Kaskazini na
kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi ya km 20 kwa saa katika Pwani
ya Kusini.
Hali ya bahari:
Inatarajiwa kuwa na mawimbi madogo
madogo hadi makubwa kiasi.
Matazamio kwa
usiku wa leo Alhamisi 18/04/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe 18/04/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Chapisha Maoni