Searching...
Jumapili, 14 Aprili 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA APRIL 14-JUMAPILI



           WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 14/04/2013.


[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza  na  Shinyanga]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Dar es Salaam,  Pwani na Tanga]:
[Mikoa ya Kigoma, na Tabora]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Morogoro (Kaskazini) ]:

Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika
baadhi ya  maeneo  na vipindi  vifupi vya jua
[Mikoa ya Dodoma na Singida ]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache  na vipindi  vya  jua.

[Mikoa ya Lindi  na Mtwara]:
[Mikoa ya  Mbeya, Rukwa na Iringa]:
[Mikoa ya Ruvuma na Morogoro (Kusini)]:

Hali ya mawingu kiasi na mvua katika maeneo machache  na vipindi  vya  jua.


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
25°C                
12:36
D'SALAAM
33°C           
12::23
DODOMA
29°C
12:37
KIGOMA           
27°C
12:02
MBEYA
22°C
12:45
MWANZA
25°C
12:50
TABORA
26°C
12:50
TANGA
32°C
12:25
ZANZIBAR
31°C           
12:23
PEMBA
31°C           
12:23
MOROGORO
30°C           
12:21

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka  Kusini kwa kasi ya km 40 kwa saa kwa  Pwani yote.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa.

Matazamio kwa usiku wa leo Jumapili 14/04/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 14/04/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!