WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA
HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 13/04/2013.
[Mikoa ya Kagera, Mara,
Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Kilimanjaro,
Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Dar es
Salaam, Pwani na Tanga]:
[Mikoa ya Kigoma, na
Tabora]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida
]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
[Mkoa wa Morogoro kaskazini
]:
|
|
Hali ya mawingu, mvua na
ngurumo katika
baadhi ya maeneo
na vipindi vifupi vya jua
|
[Mkoa wa Morogoro kusini (Mahenge)]:
[Mikoa ya Lindi, Rukwa na Mtwara]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
na ngurumo katika maeneo machache na
vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Mbeya, Iringa na Ruvuma]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi na
mvua katika maeneo machache na
vipindi vya jua.
|
ANGALIZO: Vipindi vifupi vya mvua kubwa vinatarajiwa katika baadhi
ya maeneo ya mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Manyara , Singida,Shinyanga, Kigoma
,Tabora, Mwanza, Mara, Kagera, Dar es salaam, Pwani, Tanga pamoja na visiwa vya
Unguja na Pemba.
Upepo mkali wa bahari na mawimbi makubwa yanatarajiwa katika maeneo
ya Pwani ya Kusini
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango cha juu cha
joto
|
Machweo (Saa)
|
ARUSHA
|
25°C
|
12:36
|
D'SALAAM
|
31°C
|
12::23
|
DODOMA
|
28°C
|
12:37
|
KIGOMA
|
24°C
|
12:02
|
MBEYA
|
26°C
|
12:45
|
MWANZA
|
27°C
|
12:50
|
TABORA
|
25°C
|
12:50
|
TANGA |
31°C
|
12:25
|
ZANZIBAR
|
30°C
|
12:23
|
PEMBA
|
31°C
|
12:23
|
MOROGORO
|
32°C
|
12:21
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini; kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa pwani ya Kaskazini na kwa kasi ya km 40
kwa saa kwa pwani ya kusini.
Hali ya bahari:
Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa
kiasi hadi makubwa.
Matazamio kwa
usiku wa leo Jumamosi 13/04/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe 13/04/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Chapisha Maoni