Searching...
Ijumaa, 12 Aprili 2013

PICHA ZA MAADHIMISHO YA SOKOINE - ARUSHA

MBUNGE WA JIMBO LA SIMANJIRO MHESHIMIWA CHRISTOPHER OLE SENDEKA AKIWA KATIKA MBIO ZA MASHINDANO YA SOKOINE MIN MARATHON.

MBUNGE WA JIMBO LA ARUSHA MHESHIMIWA GODBLESS LEMA AKIWA KATIKA MBIO ZA MASHINDANO YA SOKOINE MIN MARATHON.
 MBUNGE WA ARUSHA MHESHIMIWA GODBLESS LEMA AKIWA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU MHESHIMIWA EDWARD LOWASA WAKIWA KATIKA MATEMBEZI KABLA YA KUZINDULIWA MBIO ZA MASHINDANO YA SOKOINE MIN MARATHON.
 MMOJA WA WASHIRIKI WA MBIO ZA MASHINDANO YA SOKOINE MIN MARATHON AKIWA ANARUSHA MKUKI KATIKA MASHINDANO YA KURUSHA MKUKI AMBAPO ALIRUSHA ZAIDI YA MITA AROBAINI.
 Picha na habari kwa hisani ya LIHUNDI HALFANI .

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!