Searching...
Jumanne, 9 Aprili 2013

UTABIRI WA HALI Y.A HEWA APRIL 10 JUMATANO



           WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
                  UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 10/04/2013.

[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza  na  Shinyanga]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mkoa wa Morogoro Kusini (Mahenge]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida ]:
[Mikoa ya Kigoma, na Tabora]:

Hali ya mawingu, mvua na ngurumo Katika
baadhi ya  maeneo  na vipindi  vifupi vya jua

[Mikoa ya  Mbeya Rukwa  na Iringa]:
 [Mikoa ya Dar es Salaam,  Pwani na Tanga]:
[Mkoa wa Mrogoro Kaskazini]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
 [Mikoa ya Lindi na Mtwara]:

Hali ya mawingu kiasi ,mvua na ngurumo katika maeneo machache  na vipindi  vya  jua.

[Mkoa wa Ruvuma]:
 
Hali ya mawingu kiasi  na mvua katika maeneo machache  na vipindi  vya  jua.

ANGALIZO: Vipindi vifupi vya mvua kubwa vinatarajiwa katika baadhi ya maeneo ya Magharibi  na   kati      ya   nchi,Nyanda za Juu Kaskazini-Mashariki, Nyanda za Juu Kusini
Magharibi,MorogoroKaskazini, Pwani ya Kaskazini pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
26°C               
12:44
D'SALAAM
33°C           
12:33
DODOMA
28°C
12:47
KIGOMA           
29°C
01:11
MBEYA
25°C
12:56
MWANZA
27°C
12:58
TABORA
28°C
12:59
TANGA
31°C
12:34
ZANZIBAR
31°C           
12:33
PEMBA
                      31°C
12:29
MOROGORO
30°C
12:35
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa;kutoka  Kusini kwa  Pwani   ya                                                          Kaskazini  na kutoka Kaskazini-Mashariki kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi.

Matazamio kwa usiku wa leo Jumatano 10/04/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 10/04/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!