Mwendesha
boda boda wa kituo cha bodaboda kilichopo jirani na jengo la utamaduni
mjini Singida Juma Ali, akipandisha bendera ya CHADEMA kwenye mlingoti
mmoja wenye bendera ya CCM. Pia mlingoti mwingine kumetundikwa bendera
za chama cha TLP na CUF. Juma amedai wametundika bendera hizo mahali
pamoja ili kuionyesha jamii ya mji wa Singida kwamba wao ni wamoja
isipokuwa wanatofautiana tu kwa itikadi za vyama vyao.
(Picha na
Nathaniel Limu).
0 comments:
Chapisha Maoni