|
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Wa Kenya Uhuru Kenyatta
katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro wakati alipowasili
jana jioni kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wan chi za Jumuiya ya Afrika ya
Mashariki unaofanyika jijini Arusha.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Mkewe
Margareth Kenyatta wakifurahia ngoma za utamaduni muda mfupi baada ya
kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kuhudhuria
Mkutano wa Wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika
jijijini Arusha.

jijijini Arusha
(picha na Freddy Maro)
|
Jumapili, 28 Aprili 2013
Related Posts
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni