![]() |
| VIJANA WAKICHIMBUA KABURI ALIMOZIKWA MTU ALIYEKUWA HAI |
![]() |
| KWANZA KABISA WANAANZA TOA JENEZA LA ALIYEKUFA KWA UGONJWA NA KUDHANIWA AMELOGWA NA ALIYEZIKWA AKIWA HAI MAANA KATIKA KABURI HILO WALIZIKWA WATU WAWILI KATIKA KABURI MOJA ALIE HAI NA MFU |
![]() |
| JENEZA LA ALIYEKUFA KWA UGONJWA TAYARI LIMETOLEWA HILO HAPO PEMBENI SASA ANAFUKULIWA ALIEZIKWA HAI |
![]() |
| MWILI WA ALIYEZIKWA AKIWA HAI SASA UNATOLEWA KABURINI |
![]() |
| HII MITI NDIYO ILIYOTENGANISHA JENEZA NA ALIYEZIKWA AKIWA HAI KWANZA ALIANZA ALIYE HAI KUZIKWA IKAFUATIA MITI HIYO NDIYO LIKAFUATA JENEZA LA ALIEKUFA KWA UGONJWA |
![]() |
| MWILI WA ALIEZIKWA AKIWA HAI BAADA YA KUTOLEWA KABURINI |
![]() |
| MDOGO WA MAREHEMU ALIEZIKWA AKIWA HAI |
![]() |
| MWILI WA ALIYEKUFA KWA UGONJWA ULIZIKWA TENA NA WANAUSALAMA KUONDOKA NA MWILI WA ALIYEZIKWA AKIWA HAI. |
![]() |
| WANANCHI HAO HAIKUTOSHA BAADA YA KUMZIKA MWENZAO AKIWA HAI WALIKWENDA KUCHOMA NYUMBA YAKE |
![]() |
| NA KUHARIBU MAZAO YAKE SHAMBANI |
![]() Picha zote na Emanuel Kamanga |




















0 comments:
Chapisha Maoni