Mwenyekiti wa jukwaa la katiba bwana Deus Kibamba akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mchakato wa kuwapata wawakilishi wa mabaraza ya katibaambapo wamebainisha kasoro 14 ikiwemo uchaguzi kugubikwa na udini hivyo amesemani bora uchaguzi urudiwe kwa manufaa ya taifa.
Alhamisi, 11 Aprili 2013
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni