Searching...
Alhamisi, 25 Aprili 2013

MCHUNGAJI KKKT MOROGORO AUZA SAA YAKE KUTAFUTA HELA YA UJEZI WA KANISA

Mchungaji Gyunda akitoa saa yake  ipigwe mnada kuchangia ujenzi wa kanisa.
      Mwinyilisti Ndosi[kushoto] akipokea saa hiyo kutoka kwa mchungaji.
Mchungaji Gyunda akitoa saa yake  ipigwe mnada kuchangia ujenzi wa kanisa.
      Mwinyirisiti Ndosi[kushoto] akipokea saa hiyo kutoka kwa mchungaji Gyunda
         Mwinjilisti Ndosi akimkabidhi Mlyapatali aipige mnada saa hiyo
Saa hiyo ikipigwa Mnada huku baadhi ya ya waumini wakishuhudia kwa huzuni tukio hilo
        Waumni hao wakiendela na Mchango kupinga muumini wenzao kuinunua saa hiyo.
Wazee wa kanisan hilo wakihesabu fedha zilizochnga kwa lengo la kuikomboa saa ya Mchungaji huyo.
 Mwinjilisti Ndosi akimrudishia saa yake mchungaji huyo kwa sytali ya kumvisha huku wakitabasamu.
 Mchungaji Mary aliyeanzisha mchakato wa kuchangisha fedha za kuikomboa saa ya mchungaji Gyunda akimpa mkoni wa pongezi chungaji Gyunda kwa moyo wake wa kijitolea
Mzee Mushi ambaye ni mzee wa kanisa hilo akimpa mkono wa asante mchungaji Gyunda kwa kutoa saa yake sadaka.
Mchungaji Guyunda akimtambulisha rafiki yake Bw Eliewaha Mshana kulia] ambaye ndiye aliyesababisha kuja mkoani Morogoro
Mchungaji Gyunda akiondoka madhabahuni huku akiwapungia waumini hao waliokuwa wakimshangilia kwa nguvu
Baada ya ibada hiyo baadhi ya waumini walimfuata mchungaji huyo na kumpongeza
Hili ndio kanisa ni KKKT usharika wa Mji Mpya ambalo kwa sasa linaendela kujengwa kwa nguvu wa waumini wa kanisa hilo.



0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!