Rais
wa Brazil Dilma Rousseff akiwa ameshika caxirola, Vuvuzela mpya kwa
ajili ya kushangilia fainali za kombe la dunia mwakani.
Vuvuzela
hiyo inaitwa Caxirola itakuwa ya plastiki kama za Africa kusini lakini
haitaweza kuwakera wachezaji wanapokuwa uwanjani.
Mtoto Mdogo raia wa Cameroonian na shabiki wa soka akipuliza Vuvuzela yake katika fainali za kombe la dunia mwaka 2010.
Rais wa Brazil Dilma Rousseff akiwa katika picha na mgunduzi wa Vuvuzela hiyo bwana Carlinhos Brown
Rais
wa Brazil Dilma Rousseff, mwanasanaa Carlinhos Brown na waziri wa
utamaduni nchini Brazil Marta Suplicy wakiziangalia Vuvuzela za kuimbia
wimbo wa taifa
Hawa ni mashabiki wa Bafana Bafana walipokuwa wanapiga Vuvuzela kwenye fainali za 2010 nchini mwao
0 comments:
Chapisha Maoni