WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12
ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 11/04/2013.
[Mikoa ya Kagera, Mara,
Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Kilimanjaro,
Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Kigoma, na
Tabora]:
|
Hali ya mawingu, mvua na
ngurumo katika
baadhi ya maeneo
na vipindi vifupi vya jua
|
|
[Mikoa ya Dar es
Salaam, Pwani na Tanga]:
[Mikoa ya Lindi, Mtwara na
Morogoro]:
[Mikoa ya Mbeya, Rukwa na Iringa]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida
]:
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
na ngurumo katika maeneo machache na
vipindi vya jua.
|
|
[Mkoa wa Ruvuma]:
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
katika maeneo machache na vipindi vya
jua.
|
ANGALIZO: Vipindi vifupi vya mvua kubwa vinatarajiwa katika baadhi
ya maeneo ya mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango cha juu cha
joto
|
Machweo (Saa)
|
ARUSHA
|
26°C
|
1836
|
D'SALAAM
|
33°C
|
1823
|
DODOMA
|
30°C
|
1837
|
KIGOMA
|
28°C
|
1902
|
MBEYA
|
23°C
|
1845
|
MWANZA
|
22°C
|
1850
|
TABORA
|
27°C
|
1850
|
TANGA |
32°C
|
1825
|
ZANZIBAR
|
32°C
|
1823
|
PEMBA
|
32°C
|
1825
|
MOROGORO
|
31°C
|
1832
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya
km 20 kwa saa;kutoka Kusini-Mashariki
kwa ukanda wote wa pwani.
Hali ya bahari:
Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa
kiasi.
Matazamio kwa
usiku wa leo Alhamisi 11/04/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe 11/04/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Chapisha Maoni