Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiwa katika mazungumzo na Balozi wa
Oman nchini Tanzania Mhe Yahya bin Moussa al Bakari ofisini kwake Ikulu
jijini Dar es salaam leo. Mazungumzo hayo yalihusu mambo mbalimbali ya
ushirikiano baina ya nchi mbili hizi. PICHA NA IKULU |
0 comments:
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.