HIVI NDIVYO HALI ILIVYOKUWA ENEO LA MBEZI BEACH MUDA MFUPI BAADA YA MVUA KUNYESHA.
BARABARA IMEGEUKA MTO
MIUNDOMBINU YA MAJI MACHAFU IKIONEKANA DHAHIRI KUISHIWA NGUVU NA KUZIDIWA NA MAJI YA MVUA
MAFURIKO TAYARI
DARAJA LIMEZIBA
HALI SIO SHWARI JIJINI DSM KUFUATIA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA AMBAZO ATHARI ZAKE KUBWA NI PAMOJA NA FOLENI KUPITA KIASI KUTOKANA NA WATU KUENDESHA MAGARI KATIKA HALI YA TAHADHARI ZAIDI HUSUSANI PALE WANAPOKUTA MAJI YANAPITA JUU YA DARAJA NA WAKATI MWINGINE MAGARI HUSIMAMA KABISA HADI MAJI YAPUNGUE
0 comments:
Chapisha Maoni