Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe
kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 17, 2013.Katikati ni Mbunge
wa Viti Maalum, Bahati Ali Abeid. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Wabunge wa Viti Maalum kwenye jengo
la Utawala la Bunge Mjini Dodoma Aprili 17, 2013. Kutoka kushoto ni
Felister Bura, Leticia Nyerere na Christowaja Mtinda. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wanachuo wa Chuo Kikuu cha
Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere kwene ukumbi wa Spika mjini Dodoma
Aprili 17,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Chapisha Maoni