MAKAMU WA RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA DR.MOHAMED GHARIB BILALI AKITOA HESHIMA ZAKE ZA MWISHO KUMUAGA MAREHEMU MEJA JENERALI MAKAME RASHI AMBAYE ALISHAWAHI KUSHIKA NYADHFA MBALIMBALI JESINI NA SERIKALI IKIWA NI PAMOJA NA KUWA MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA JKT
MAKAMU WA RAIS MHESHIMIWA MOHAMED GHARIB BILALI AKISAINI KITABU CHA RAMBI RAMBI WAKATI WA KUMUAGA MEJA JENERALI MAKAME RASHID
MKUU WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA JENERALI DAVIS MWAMUNYANGE (kulia)
MKUU WA JESHI LA POLISI (katikati) NA MKUU WA JESHI LA MAGEREZA NCHINI
RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA TATU MHESHIMIWA BENJAMINI WILLIAM MKAPA (kushoto) MKUU WA MAJESHI KATIKATI JENERALI DAVIS MWAMUNYANGE NA KULIA NI RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI MHESHIMIWA ALLY HASAN MWINYI WAKISHUHUDIA TUKIO LA KUMUAGA JENERALI MAKAME RASHID KATIKA VIWANJA VYA MAKAO MAKUU YA JKT MLALAKUA JIJINI DAR ES SALAAM.
0 comments:
Chapisha Maoni