Searching...
Jumapili, 21 Aprili 2013

ANGALIA AJALI YAKUTISHA ILIYOTOKEA MBEYA NA KUUA

Gari aina ya scania yenye nambari za usajili T578 ALS likiwa na tela nambari T125 AGM lililobomoa nyumba na kusababisha vifo vya watu 3 wa familia moja








Wananchi wa kijiji cha Ilongo wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya wakiwa msibani, PICHA KWA HISANI YA MBEYA YETU

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!