
BASI AINA YA COASTER LIKIWA LIMEHARIBIKA VIBAYA BAADA YA AJALI HIYO.
HIZI NDO NAMBA ZA GARI NDOGO ILIYOSABABISHA AJALI HIYO
HUYU NI KONDA WA COASTER HIYO ALIYETEGUKA KIUNO.
MAJERUHI WAKIWAISHWA HOSPITALI
HICHI NI KICHWA CHA LORI KILICHOGONGANA NA COASTER.
HAWA NI VIBAKA WALIOKAMATWA WAKITAKA KUIBA VITU VYA ABIRIA
KWA MBALI NI KONDA ALIYETEGUKA KIUNO,NA MAMA ALIYEKATIKA MGUU.
POLISI WAKIWA ENEO LA TUKIO.
HILI NDO JILA COASTER HIYO ILIYOPATA AJALI.
0 comments:
Chapisha Maoni