Searching...
Jumamosi, 28 Juni 2014

DAVID MOYES ATUA UTURUKI KUINOA GALATASARAY.



Target: The former Manchester United boss looked relaxed as he touched down in Istanbul
Ule usemi usemao ukisema cha nini wengine wanasema nitakipata lini umetimia kwa aliyekua kocha wa Manchester United David Moyes baada ya kupewa ofa ya miaka minne ya kukinoa kikosi cha Galatasaray kuiridhi mikoba ya Roberto Mancini kama anavyoonekana hapo juu akizungumza na mmoja wa maofisa wa Galatasaray baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Instabul nchini Uturuki.
Arrival: David Moyes was in Istanbul but is understood to be cautious about a move toe Turkey .....karibu sana Uturuki..ni kama afisa huyu wa Galatasaray anamuambia David Moyes was baada ya kukanyaga ardhi ya Uturuki kujadiliana na maofisa wa timu hiyo ili kukinoa kikosi hicho cha wukukutu.
Sunning it up: Since being sacked as Manchester United boss David Moyes has enjoyed a holiday in Miami Tangu David Moyes afukuzwe kazi Manchester United amekua akiendelea kula raha zake huko Miami nchini Marekani.
Poor: Moyes was sacked as Manchester United boss in April with them seventh in the Premier League David Moyes alitimuliwa kukinoa kikosi cha Manchester United tangu April mwaka huu zikiwa zimesalia mechi kadhaa kabla ya kumaliza msimu bada ya kuboronga na kuiacha timu katika nafasi ya saba kwenye msimamo wa ligi kuu England.
Main men: Jurgen Klinsmann (left) and Joachim Low (right) are Galatasaray's top two managerial targets

Gone: Galatasaray are in the hunt for a new manager after sacking Roberto Mancini earlier in June Galatasaray imemfukuza kazi Roberto Mancini kukinoa kikosi cha kutokana na kushindwa kuhimili mikiki mikiki ya ligi kuu ya Uturuki na klabu bingwa ulaya.

1 comments:

  1. sawa sawa kaka,unatisha sana kaka!! naona umeamua kuja kivingine

    JibuFuta

 
Back to top!