Searching...
Ijumaa, 4 Oktoba 2013

BREAKING NEWSSSS!!!HOFU KUBWA YATANDA BAADA YA MWANAMKE MMOJA KULETA KIZAA ZAA NA KUUWAWA NA POLISI KARIBU NA IKULU YA MAREKANI

mwanamke  mmoja  amepigwa risasi na  kufariki dunia papo hapo ndani  ya  gari  yake na  walinda usalama wa marekani baada  ya  gari  hiyo  kwenda  mbio  na kukaidi vizuizi vya askari karibu  kabisa ikulu ya  Marekani  mjini  Washington. Mtoto  wa mwaka  mmoja  katika  gari  hiyo  amepatikana  akiwa salama. According to various online profiles for Carey, she split her time between Brooklyn and Stamford, CT.Huyo mdada wa tatu kulia ndiye aliyeuwawa na polisi baada ya kukaidi kutii polisi katika kizuizi cha magari karibu na ikulu ya marekani...hata hivyo dada huyo aliyefahamika kwa jina la MARIAM CAREY inasemekana alikua na matatizo ya akili muda mrefu na alikua ni daktari wa meno.
Hiki ndicho kizuizi cha polisi alichikikaidi mwanadada huyo
Shuhuda wa tukio hilo akiongea na waandishi wa habari muda mfupi baada ya kizaa zaa hicho.

 Muda mfupi sana baada ya mwana mama huyo kuleta hofu kubwa kuzunguka ikulu ya marekani barabara zote zinazopita karibu na ikulu ya marekani zilifungwa
 
Moja ya jengo lililopo karibu na ikulu ya marekani likiwa chini ya ulinzi mkali baada ya mama huyo kuleta kizaa zaa na hofu kubwa
Kifo kibaya jamani usiombe yakukute,angalia watu walivyolala chini baada ya kusikia milio ya risasi wakati askari wakimkabili mama huyo.
 Askari wakilifunga eneo hilo.
 watu wakikimbia ovyo huku askari wakiwa tayari tayari kwa lolote.
Polisi wakilifukuzia gari hilo.
 Hakuna cha kwamba mimi nimevaa suti siwezi kukimbia,hapana mbio mbio kunusuru maisha.
 
Mlenga shabaha wa marekani akiwa katika mkao wa atakayepita mbele yake anakwenda na maji
 It is still unknown whether the woman driving the car was armed.Hili ndilo gari alilokua akiliendesha mama huyo ambaye hata hivyo kwa mujibu wa msemaji wa polisi wa kituo cha Capitol Hill amesema hakuna dalili zozote za kwamba hilo tukio lilikua ni la kigaidi.
 Baadhi ya majeruhi wachache katika tukio hilo wakipandishwa kwenye gari la wagonjwa

1 comments:

  1. duuh staili hiyo ingekuwa bongo daladala zingekoma

    JibuFuta

 
Back to top!