Searching...
Jumanne, 28 Oktoba 2014

CHELSEA YATOA 3 KINYANG'ANYIRO CHA MCHEZAJI BORA WA DUNIA 2014,MAN U 1 NA CITY 1,ARSENAL 0

Real Madrid's Welsh winger Gareth Bale celebrates winning the Champions League back in May Mshambuliaji wa pembeni wa timu ya taifa ya Wales na klabu ya Real Madrid Gareth Bale ameteuliwa kuingia kwenye kinyang'anyiro cha kugombea mchezaji bora wa Fifa wa mwaka 2014-2015.
Bale's Real team-mate Cristiano Ronaldo won his second Ballon d'Or in Zurich last year Mchezaji bora wa dunia kwa sasa na mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ureno na klabu ya Real Madrid Cristiano Ronaldo ametangazwa tena mwaka huu kuitetea nafasi hiyo mwaka huu.
Argentina and Barcelona forward Lionel Messi is in the running for his fifth Ballon d'Or
Aliyewahi kuwa mchezaji bora wa dunia kwa miaka minne mfululizo muagentina na mshambuliaji wa timu ya Barcelona Lionel Messi ametajwa tena kuingia katika ushindani huo baada ya mwaka jana kubwagwa vibaya na Christian Ronaldo.
Chelsea's Eden Hazard leads a five-strong Premier League contingent and is one of two Belgians named Kiungo mshambuliaji wa Chelsea Mbelgiji Eden Hazard naye ameingia katika kinyang'anyiro hicho cha kusaka msukuma ndinga bora wa mwaka 2014-2015.
Nyota wengine walioingia katika kinyang'anyiro hicho ni mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa na mlinda mlango Thibaut Courtois, kiungo wa Manchester City Yaya Toure na mshambuliaji wa Manchester United Angel Di Maria.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!