Searching...
Jumatano, 2 Julai 2014

KIWANGO KOMBE LA DUNIA CHAMREJESHA MCHEZAJI WA MKOPO ARSENAL




Joel Campbell WILL return to Arsenal for new season
Baada ya mshambuliaji wa timu ya taifa ya Costa Rica na klabu ya Arsenal aliyekua nje kwa miopo Joel Campbel (pichani juu) anarejea rasmi kujiunga na klabu yake ya Arsenal baada ya kocha wa klabu hiyo  Arsene Wenger kumfuatilia kwa karibu mchezaji huyo katika michuano ya kombe la dunia huko nchini Brazili na kuonyesha kiwango cha hali ya juu.i
Campbell, alijiunga na klabu hiyo mwaka 2011, na muda wote amekua nje kwa mkopo katika vilabu vya Lorient, Real Betis na Olympiakos.
 
Malengo ya Arsenal ilikua ni kumrejesha mchezaji huyo kwenye ligi ya England kwenye klabu ya West Brom msimu ujao lakini Wenger ameahirisha na kumtaka mchezaji huyo kuwasili klabuni haraka baada ya kombe la dunia kwaajili ya maandalizi ya msimu ujao
Sasa Campbell atalazimika kugombea namba na Olivier Giroud, Lukas Podolski na Yaya Sanogokwenye safu ya ushambuliaji.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!