Unknown 16:51 0 comments HUYU NDIYE MISS REDDS SHINYANGA 2014 Home » Unlabelled » HUYU NDIYE MISS REDDS SHINYANGA 2014 Miss Redd’s Shinyanga 2014 ni Nicole Franklyn Sarakikya (katikati) mrembo kutoka wilaya ya Kishapu. Miss Redd’s Shinyanga 2014 ni Nicole Franklyn Sarakikya (katikati) akiwa na mshindi wa pili, Mary Emmanuely Bugingo na Mshindi wa tatu, Rachel Mushi. Washiriki walioingia tano bora katika shindano la Redd's Miss Shinyanga 2014. Washiriki wa shindano la Redd's Miss Shinyanga 2014 wakitoa burudani. Miss Shinyanga 2014, Nicole Sarakikya. Mzee Yusuph akitoa burudani. Msanii wa Bongo Fleva, Mo Music akifanya yake jukwaani. Share This To : Facebook Twitter Google+ StumbleUpon Digg Delicious LinkedIn Reddit Technorati
0 comments:
Chapisha Maoni