Searching...
Ijumaa, 4 Julai 2014

BEKI WA CHELSEA KUTIMKIA ROMA FC ITALIA

 

Maofisa wa timu ya Roma ya Italia wamesema wapo katika mazungumzo na aliyekua beki wa wa kushoto wa Chelsea Ashley Cole ili kujiunga na klabu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili.
Curtain call: Ashley Cole's Chelsea career came to an end when the last Premier League season finished Timu ya Chelsea imeamua kuachana na beki huyo  muingereza mwenye umri wa miaka 33 baada ya kuitumikia klabu kwa kipindi cha miaka saba na sasa mchezaji huru.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!