Mabadiliko makubwa ya kizazi kipya katika kizazi cha mchezo wa Tenesi yamedhihirika katika mashindano ya tenesi ya Wimbledon baada ya vigogo kadhaa kutolewa mashindanoni ambapo leo hii kigogo mwingine Anna Sharapova ameondolewa mashindanoni na mchezaji mdogo kutoka nchini Ugerumani Angelique.
Mdada wa kijerumani Kerber akishangilia baada ya kumtoa mkongwe Anna Sharapova katika mashindano ya Wimbledon.
Ushindi wa Mjerumani dhidi ya Sharapova haukuwa rahisi hata kidogo.
....piga keleeeeeeeeee.....

0 comments:
Chapisha Maoni