Supermodel Kate Moss akibarizi katika beach ya Cala Bassa Ibiza jana jumamosi.

Naomi Campbell akifurahia maisha week end

Kate akiwa fukweni na mtu anayedhaniwa kuwa ni mchumba wake wakiogelea katika pwani ya Cala Bassa beach Ibiza
Jamaa mmoja akimshangaa supermodel Kate akibarizi baharini

................Maisha yanaendelea...........

Kate akiwapungia mashabiki wake (hawapo pichani)
......Hayakuhusuuuuuuuuuuuuuuuu...........
0 comments:
Chapisha Maoni