Searching...
Alhamisi, 26 Juni 2014

MTUKUTU SUAREZ KAPATA ADHABU NYEPESI ILA NGUMU KWA LIVERPOOL.

Luis Suarez (pictured today) has been banned for four months from all football meaning he will miss the start of the Premier League and cannot train with Liverpool
Luis Suarez amefungiwa kutojihusisha na mchezo wa soka pamoja na kutokucheza michezo tisa baada ya kumng'ata beki wa Italia  Giorgio Chiellini mnamo dakika ya 80 katika mechi kati ya Uruguay na Italia.
The ban also sees him miss the next nine Uruguay matches, including Saturday's last 16 clash with Colombia
Kwa adhabu hii sasa inamaanisha kwamba Suarez hatoshula tena dimbani katika mechezo yote iliyosalia ya kombe la dunia huko nchini Brazili pamoja na michezo takribani 13 ya ligi kuu England msimu ujao
Suarez bit Chiellini as the two competed for a cross during the World Cup match between Uruguay and Italy, a game that Uruguay went on to win Mla nyama za wachezaji wenzake Suarez akimg'ata beki wa Italia.
Chiellini posted this picture of a maid at his hotel biting his shoulder in a light-heated jibe at Suarez
Chiellini ameituma picha hii kwenye ukurasa wake wa facebook kama ishara ya kumdhihaki Suarez

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!