Searching...
Jumatano, 25 Juni 2014

KOCHA AJIUZULU BAADA YA KUTOLEWA KOMBE LA DUNIA.


Disappointment: Cesare Prandelli (right) comforts keeper Gianluigi Buffon after Italy's loss to Uruguay
Comforting: Prandelli, who quit as Italy boss after the match, consoles his players on the bench in Natal Kocha wa timu ya taifa ya Italia Prandelli akiwapa pole vijana wake baada ya kipigo cha bao moja kwa sufuri kutoka kwa Uruguay na kutolewa rasmi katika michuano ya kombe la dunia inayoendelea huko nchini Brazil.
Pick it out: Italy were going through the last 16 at 0-0 before Diego Godin broke the deadlock for Uruguay
Wachezaji wa Italia wakiokota mpira wavuni baada ya Diego Godin kuzifumania nyavu dakika za majeruhi.
Towering: Godin rises to scores the only goal of the match for Uruguay to send Italy packing
Diego Godin akiwanyanyua washabiki wa Uruguay waliokuwa wakishangilia kwa nguvu uwanjani hapo.
Going through: Godin celebrates his going that saw Uruguay through to the last 16 as second in group D  Godin akiruka juu kushangilia goli pekee lililowapeleka Uruguay 16 bora ya michuano ya kombe la dunia huko nchini Brazil.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!