Ronaldo akijaribu kujidondosha eneo la hatari ili kumshawishi mwamuzi kumpa penalti lakini mwamuzi alikua makini kwani hakuahangaika naye.
Mghana Asamoah Gyan kushoto akimdhibiti mchezaji bora wa dunia Ronaldo huku Mohammed Rabiu wa Ghana akiwa chini.
Clinical: Ghana's Asamoah Gyan, left, scores the equaliser against Portugal
Mshambuliaji wa Ghana Asamoah Gyan akiifungia timu yake goli la kusawazisha.l
Beki wa timu ya taifa ya Ureno Pepe akimsaidia Ronaldo kusimama baada ya kuchezewa madhambi.
0 comments:
Chapisha Maoni