Searching...
Jumapili, 29 Juni 2014

BINGWA WA DUNIA ANG'OLEWA MASHINDANO YA WEMBLEDON

Agony: Serena Williams lost her way after zipping through the firstBingwa wa dunia wa mchezo wa Tennis duniani Serena Williams ameduwazwa na damu changa na mchezaji asiye na jina katika michuano hiyo baada ya kufungwa na kuondolewa katika michuano ya Wimbledon kwa wanawake.
 Sealed with a kiss: Alize Cornet celebrates stunning victory against Serena Williams
ALIZE CORNET AKISHANGILIA USHINDI.
Serena Williams ameduwazwa na Alize Cornet wa Ufaransa baada ya kubwagwa kwa seti1-6, 6-3, 6-4 a hivyo kumfuata ndugu yake ambaye naye ameondolewa mapema katika michuano hiyo mikubwa duniani.
Delight: Cornet celebrates beating top seed Serena Williams in the third round
ALIZE CORNET AKISHANGILIA USHINDI.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!