Searching...
Jumamosi, 1 Februari 2014

WATU WATATU WAJERUHIWA KATIKA AJALI MBAYA CHALINZE LEO ASUBUHI

 Picha mbali mbali zikionyesha magari mawili yaliyogongana uso kwa uso eneo la chalinze leo asubuhi huku Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani chalinze mkaguzi msaidizi wa polisi Innocent Sulle akikagua ajali hiyo ambayo watu watatu walijeruhiwa vibaya.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!