Searching...
Jumapili, 26 Januari 2014

WAZIRI MPYA WA SHERIA NA KATIBA ASHA ROSE MIGIROATEMBELEA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA.

 Waziri mpya wa Katiba na Sheria, Dkt. Asha-Rose Migiro (kushoto) akipokea nakala za ripoti za Tume ya Mabadiliko ya Katiba ikiwemo Rasimu ya Katiba kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Joseph Warioba wakati wa ziara yake ya kutembelea na kuzungumza na Watendaji wa Tume hiyo aliyoifanya mwishoni mwa wiki Jijini Dar es Saalam.
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba (kulia) akimpokea Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha-Rose Migiro (kushoto) wakati alipowasili katika Ofisi za Tume hiyo kutembelea na kuzungumza na Watendaji wa Ofisi hiyo katika ziara yake aliyoifanya mwishoni mwa wiki.
 (PICHA NA TUME YA KATIBA)

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!