Searching...
Jumanne, 14 Januari 2014

TULIFANYA MAKOSA MAKUBWA SANA KUMUUZA MESUT OZIL ARSENAL-REAL MADRID.

Arsenal splashed out 42 5m to land Mesut Ozil from Real Madrid  
 MESUT OZIL.
Hatimaye uvumilivu wa maumivu ya roho umewashinda Real Madrid baada ya kocha wao Calo Ancelotti kufunguka na kusema hadharani kwamba kitendo walichokifanya kumuuza Ozil kilikua ni kitendo cha kukurupuka na sasa wanajutia uamuzi huo,
Ozil, Mesut Ozil, Manchester United, Ozil, Arsenal, Arsenal Ozil, Arsene Wenger, Wenger, Wenger Ozil
 CALO ANCELOTTI.
"katika soka,kunakua na makosa ya ndani na ya nje ya uwanja kwa hakika hatukupaswa hata kidogo kumuuza Ozil,kalini hayo ni makosa ya nje ya uwanja ambayo hatupaswi kuyarudia tena" alisema kocha wa Madrid Ancelotti.
Real Madrid waliamua kumuuza Ozil kunako klabu ya Arsenal baada ya kufanya usajili uliovunja rekodi ya dunia ya paundi milioni 85 ya mshambuliaji Gareth Bale aliyekua akikipiga kunako Tottenham Hotspur.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!