Searching...
Ijumaa, 3 Januari 2014

NINGEJIUA KAMA NINGEJIUNGA NA MANCHESTER UNITED-DE ROSS


De Rossi: I'd have committed suicide at United
DANIELE DE ROSSI.
Daniele De Rossi amefunguka na kusema kama ningelikubali kujiunga na Manchester United msimu katika usajili uliopita angejinyonga hadi kufa ....says he would have ‘committed suicide’ by now if he had signed for Manchester United last summer.
‘lilikua ni jambo zuri sana kwangu kutojiunga na Manchester, kwasababu sasa ningejiua mwenyewe" aliliambia gazeti la Corriere Dello Sport.
Amesema sababu kubwa ya yeye kutoa kauli hiyo ni kutokana na mapenzi ya dhati na klabu yake ya Roma na anaamini angeenda Man u wangemchukia milele. 

 DAVID MOYES.
Kocha wa Man U David Moyes aliripotiwa kumtaka De Rossi katika usajili uliopita ambapo alimtengea kitita cha paundi milioni 20 lakini akagonga mwamba kwa klabu ya Rom.

0 comments:

Chapisha Maoni

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Back to top!