Jeneza la Ariel Sharon likiwa nje ya bunge la Israel mjini Jerusalem.leo (13.01.2014)
Wananchi wa Israel Jumatatu(13.01.2014)wametoa heshima zao za mwisho kwa Waziri Mkuu wa zamani Ariel Sharon mtu ambaye amesifiwa kuwa ni shujaa wa vita nchini mwake na kuonekana kuwa mhalifu wa vita na nchi za Kiarabu.
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu akisalimiana na Makamo wa Rais wa Marekani John Biden wakati wa ibada ya mazishi ya Sharon.Leo (13.01.2014).
Rais Shimon Peres wa Israel na Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu
wakisalimiana na jamaa wa familia ya Sharon wakati wa ibada ya mazishi.
(13.01.2014).
0 comments:
Chapisha Maoni