Searching...
Jumapili, 26 Januari 2014

HIVI NDIVYO YANGA YA UTURUKI ILIVYOIBUKA NA USHINDI KIDUCHU DHIDI YA ASHANTI UNITED

 Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa (katikati) akijaribu kuwatoka mabeki wa Ashanti, Abuu Mtiro (kushoto) na Iddi Seleman (kulia). 
 Wachezaji wa Yanga wakimpongeza mwenzao, David Luhende baada ya kufunga bao la pili.
 Hussein Javu, akiruka kujaribu kumchambua kipa wa Ashanti.
 Mohamed Fakhi na Hussein Javu, wakiwania mpira.
 Kocha wa Yanga, Hans Van Der Pluijm, akitoa maelekezo kwa wachezaji wake.
Kocha akizungumza na wachezaji wake baada ya mchezo kumalizika. Simba watashuka dimbani katika uwanja wa Taifa leo jumapili kukipiga na Rhyno.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!