Ndege ya shirika la Zan Air imeanguka Pemba jana tarehe 25.01.2014 ikiwa imebeba jumla ya
abiria 19, miongoni mwa abiria hao pia alikuwamo Waziri wa Habari na
Katiba wa Zanzibar, Mhe. Abubakar Khamis. Abiria wote walitoka salama.
Jumapili, 26 Januari 2014
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni