Hii ndiyo ajali ya basi la kampuni ya TAQWA liligongana na lori huko Mikumi Mkoani Morogoro usiku wa tarehe 01.01.2014 mashuhuda wanasema basi hilo lilijaribu ku-over take hilo lori.
Hadi sasa wamefariki watu watatu ambapo wanawake ni wawili na mwanaume ni mmoja
Alhamisi, 2 Januari 2014
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni