Searching...
Jumanne, 31 Desemba 2013

WANACHAMA SIMBA WAENDELEA KUMNG'ANG'ANIA RAGE AJIUZULU

Kundi la watu waliojitambulisha kuwa ni wanachama wa Simba, wakizungumza kwenye ukumbi wa Idara ya Habari, Maelezo, Dar es Salaam., kupinga hatua ya Shirikisho la Soka Nchini TFF, kuridhia Mwenyekiti wa Klabu hiyo, Aden Rage kuiendelea na uongozi. Meza kuu, kutoka kushoto ni Husein Mwaikambo kutoka Iringa, Albino Willa na Fatuma Selemani maarufu wa jina la Hindu.
Baadhi ya waandishi wakiuliza maswali.
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo wa wanachama wa Simba kutaka Rage ang'oke.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!