Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete(kulia)
wakihudhuria sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Kenya zilizofanyika katika
uwanja wa Michezo wa Kasarani mjini Nairobi leo.Kushoto ni Mwenyeji Rais
Wa Kenya Uhuru Kenyatta.Watatu kushoto ni Naibu Rais Wa Kenya William
Ruto,Watano Kushoto ni Waziri Mkuu wa Ethiopia Haile Mariam Desalegn, na
Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi na mkewe.
Wakifuatilia yaliyokuwa yakiendelea uwanjani hapo.
Picha na Fredy Maro.
0 comments:
Chapisha Maoni