Unknown 08:33 0 comments MISA YA WAFU YA MANDELA,OBAMA AVUNJA REKODI YA MIAKA 54 PIA ANASWA AKIJIPIGA PICHA NA DAVID CAMERON Home » Unlabelled » MISA YA WAFU YA MANDELA,OBAMA AVUNJA REKODI YA MIAKA 54 PIA ANASWA AKIJIPIGA PICHA NA DAVID CAMERON RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA AKIPEANA MKONO NA RAIS WA CUBA RAUL CASTRO AMBAYE NI HASIMU MKUBWA WA MAREKANI NA KUVUNJA HISTORIA YA MIAKA 54 AMBAPO TANGU MWAKA 1959 HAIJAWAHI KUTOKEA RAIS WA MAREKANI KUSHIKANA MIKONO NA RAIS WA CUBA. RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA AKITOA HOTUBA FUPI KATIKA MISA YA WAFU YA MZEE NELSON MANDELA. WAJANE WA MZEE MANDELA BI WINNIE MANDELA NA GRACA MACHEL WAKIBUSIANA KAMA ISHARA YA UPENDO BAINA YAO RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA,WAZIRI MKUU WA UINGEREZA DAVID CAMERON NA KIONGOZI WA DENMARK HELLE THORNING WAKIJIPIGA PICHA WENYEWE HUKU MKE WA OBAMA MAMA MICHELE OBAMA AKIWA HANA SHUGHULI NAO. MAELFU YA WANANCHI WALIOJITOKEZA KUHUDHURIA MISA YA WAFU YA KUMUAGA MZEE NELSON MANDELA WAKIJIKINGA MVUA WAKATI WA MISA HIYO. Share This To : Facebook Twitter Google+ StumbleUpon Digg Delicious LinkedIn Reddit Technorati
RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA AKIPEANA MKONO NA RAIS WA CUBA RAUL CASTRO AMBAYE NI HASIMU MKUBWA WA MAREKANI NA KUVUNJA HISTORIA YA MIAKA 54 AMBAPO TANGU MWAKA 1959 HAIJAWAHI KUTOKEA RAIS WA MAREKANI KUSHIKANA MIKONO NA RAIS WA CUBA. RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA AKITOA HOTUBA FUPI KATIKA MISA YA WAFU YA MZEE NELSON MANDELA. WAJANE WA MZEE MANDELA BI WINNIE MANDELA NA GRACA MACHEL WAKIBUSIANA KAMA ISHARA YA UPENDO BAINA YAO RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA,WAZIRI MKUU WA UINGEREZA DAVID CAMERON NA KIONGOZI WA DENMARK HELLE THORNING WAKIJIPIGA PICHA WENYEWE HUKU MKE WA OBAMA MAMA MICHELE OBAMA AKIWA HANA SHUGHULI NAO.
MAELFU YA WANANCHI WALIOJITOKEZA KUHUDHURIA MISA YA WAFU YA KUMUAGA MZEE NELSON MANDELA WAKIJIKINGA MVUA WAKATI WA MISA HIYO.
0 comments:
Chapisha Maoni