Mama Regina Lowassa akishiriki
kuhudumia chakula watoto wenye ulemavu katika Kituo cha Huduma ya
Walemavu kinachomilikiwa na Jimbo Kuu Katoliki Arusha kilichopo Monduli
wakati alipokwenda kushiriki nao Ibada ya X-Mass pamoja na kuzungumza na
kula nao chakula cha mchana.
Jumamosi, 21 Desemba 2013
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni